
Migogoro kati ya wakulima na wachimbaji dhahabu huko Mambasa: Ujumbe wa pamoja utatumwa kuchunguza mashinani (Msimamizi ya muda)
Msimamizi wa muda wa eneo la Mambasa, Kanali Maxime Tshishimbi, anaahidi “kushuka kwa huduma maalum” kuchunguza na kutafuta ufumbuzi wa matatizo ya kufukuzwa kwa wakulima kwa nguvu na baadhi ya