Logo Bunia info24

Ituri-Irumu : Watu kenda(9) pamoja na nyumba nyingi hu unguzwa na ADF kwenye kijiji Kandoyi

Waasi wanao dhaniwa kuwa ADF wame uwa watu wasiyo pungua kenda(9) Katika Kijiji kandoyi ni katika wilaya ya walese vonkutu mutaani Irumu naku choma nyumba nyingi za wakazi.

Duru toka maeneo husika zaeleza kwamba ADF wali jipenyeza katika Kijiji hicho majira ya saha kumi(16h pm) ya tarehe 06 August mwaka tunao naku wauwa raia wakawaida kenda.

Shambulizi nyipya hili,lime sababisha wakazi ku kimbia naku yaacha makazi yao hadi miji na vijiji vinavyo dhaniwa kuwa na usalama mudogo kama vile Komanda na penginepo.

Hiyo ime jiri,siku chache tuu baada ya watu waliokimbiya maeneyo hayo kurejeya maskani yao kiisha usalama mudogo kurudi.

Mwandishi : Prince Syaghenda

Trad : Magloire KAKULE

104 vues
Partager

Laisser un commentaire