Logo Bunia info24

Ituri-Irumu : Waasi wa tano wa ADF wa uwawa kijijini Sesa

Jeshi la jamuhuri yaki demokrasia ya kongo fardc lime pambana mapema juma tatu tariki 01 August mwaka 2022 na waasi wa ADF katika jaribiyo yaku shambuliya Kijiji Sesa wilayani walese vonkutu ni ndani ya mutaa Irumu mukoani ituri mashariki mwa DRC.

Habari toka eneyo husika ,zaeleza kwamba ADF wali jaribu vuka toka mashariki kwelekeya mangaribi kwenye barabara number 4 ya taifa kabla yaku kutana na wana jeshi fardc ndipo risasi zili sikika.

Uongozi waki jeshi hu nena kwamba waasi watano miongoni mwao wali uwawa na wengi zaidi walipatwa na majeraha.

Tukumbushe kwamba jaribiyo yaku shambuliya Kijiji Sesa,lime jitokeza siku chache tu baada ya hali tulivu maeneyo husika mwezi wa sita uliyo pita mwaka tunao.

Mwandishi: Prince Syaghenda

Trad: Magloire KAKULE

79 vues
Partager

Laisser un commentaire