Logo Bunia info24

Ituri : Waasi wa CODECO washambuliya mara ine mufululizo kwa siku mbili wilaya ya wanyali-kilo

Waasi wa kundi la CODECO wali shambuliya mara ine mufululizo kwa masaha ishirini na arobaini na nane vijiji vya Scierie Abelkozo,Bakonde pia Matete ni ndani ya usultani wa wanyali-kilo muataani Djugu,tangu juma tatu ya August 08 hadi juma ine August 09 mwaka tunao.

Habari zilizo tolewa kwenye ofisi ya bunia-info24.com juma ine August 09,za eleza kwamba nyumba za wakazi zili unguzwa na CODECO,ikiwemo uporaji wa vitu pamoja na wanyama wa mifugo.

Dieu yetu haiku sema ni watu wangapi waliyo uwawa kulingana kwamba mizinga ya risasi bado ina sikika maeneyo ya Bakonde ambapo jeshi la taifa fardc lina pambana na waasi hao.

Kuwasili kwa CODECO kwenye maeneyo husika,ime lazimisha raia wakawaida ku kimbiya naku yaacha makazi yao hadi kwenye vijiji vinavyo dhaniwa kuwa na usalama mudogo.

Katika mawasiliyano na bunia-info24.com,mashirika ya raia ya wanyali-kilo,imeomba kuongezwa kwa idadi ya wana jeshi kwenye vijiji husika.

Uandishi

73 vues
Partager

Laisser un commentaire